Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Kampasi ya Dar es Salaam, Prof. Honest Ngowi, akitoa mafunzo kwa wafanyabiashara wa Temeke jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yameandaliwa na chuo hicho kwa kushirikiana na taasisi ya Kuehne ya Uswisi. (Picha na Francis Dande).
Mratibu wa mafunzo hayo, Dk. Omary Swaleh, akizungumza katika mafunzo hayo.
Baadhi ya washiriki wakibadilishana mawazo.
No comments:
Post a Comment