HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 25, 2019

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI MKOANI MBEYA KWA ZIARA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU NANE

NA KENNETH NGELESI, MBEYA

WAKATI Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania DK. John Pombe Magufuli akianza ziara ya siku nane mkoani Mbeya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ameonya baadhi ya wananchi watau watakao kuja na mabango yatakoonyesha hali ya uchechezi na kwamba ofisi yake haitakuwa tayari kuliona hilo likitokea.


Akizungumza na waandishi wa habari juu ya ziara ya Rais Magufuli Mkoani Mbeya Chalamila aliwataka wananchi kujitokeza kwa wingi kumpokea na kumsikiliza Rais wao, huku akiwataka kutumia ziara hiyo ya rais kama fursa ya maendeleo na kubeba mabango yenye ujumbe unaoonyesha kero zao badala ya kuandika mabango ya uchochezi.


Chalamila alisema kuwa kunataarifa kuna watu wanapanga kuandika kuja na mabongo yeenye ujmbe wenye uchochezi hicyo ofisi yake haipoa tarai kuona hali hiyo.


‘Nitoea rai kwa wananchi wa Mkoa wa Mbeya kujotokeza kumpokea Rais ni fursa ya kimaendeleo na wanaruhisiwa kubeba mabango yenye ujumbe unaoonyesha kero zao badala ya kuandika mabago ya uchochezi’ alisema Chalamila


Chalamila alisema Rais Magufuli atakuwepo Mkoani Mbeya kunzia April 25 mwaka huu kwa shughuli Mbalimbali za kukagua Miradi mbalimbali ya maendeleo ambapo April 28 atashiriki misa ya kusimikwa kwa askofu Mkuu Mteule Gervas Nyaisonga wa kimbo mkuu wa jimbo katoliki la Mbeya.


Charamila alisema kuwa mbali na kukagua miradi ya maendeleo katika ziara hiyo ya siku nane Rais Magufuli atakukagua, miradi, kuzindua na kuweka mawe ya msingi katika kwenye wilaya nne za mkoa wa Mbeya pamoja na kuzungumza na wananchi


No comments:

Post a Comment

Pages