Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wananchi wa Masasi mara baada ya kufungua kituo cha Afya cha Mbonde
kilichopo Masasi mkoani Mtwara.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama
Janeth Magufuli pamoja na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, Waziri wa Afya Ummy
Mwalimu, Viongozi wa Mkoa wa Mtwara, wakati akikagua moja ya Wodi ya Wazazi
katika Kituo cha Afya cha Mbonde mara
baada ya kukifungua Masasi mkoani Mtwara.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama
Janeth Magufuli pamoja na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, Waziri wa Afya Ummy
Mwalimu, Viongozi wa Mkoa wa Mtwara, wakati akikagua chumba cha upasuaji katika
wodi ya Wazazi katika Kituo cha Afya cha
Mbonde Masasi mkoani Mtwara.
Sehemu ya Wodi
ya Wazazi katika Kituo cha Afya cha
Mbonde mara baada ya kufunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Masasi mkoani Mtwara.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama
Janeth Magufuli pamoja na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, Waziri wa Afya Ummy
Mwalimu, Viongozi wa Mkoa wa Mtwara akiangalia mashine ya kutoa dawa ya
usingizi kkwa wagonjwa katika chumba cha upasuaji kwa wa mama wajawazito.
Sehemu ya
wakazi wa Masasi wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati akihutubia mara baada ya kufungua
kituo cha afya cha Mbonde.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasalimia wananchi wa Nanyumbu mara baada ya kuwasili kutoka Masasi kwa
ajili ya kufungua barabara ya Tunduru-Mangaka-Mtambaswala yenye jumla ya
km202.5.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa
TAMISEMI Selemani Jafo, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu katika picha ya pamoja na
wafanyakazi wa Kituo cha Afya cha Mbonde mara baada ya kukifungua.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mikangaula iliyopo Nanyumbu mkoani Mtwara
wakati akielekea Mangaka kwenda kufungua barabara.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungua mkono
wananchi hawaonekani pichani wakati akiondoka eneo la kituo cha Afya cha
Mbonde. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment