HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 21, 2019

HALOTEL YACHANGIA MILIONI 10/- KUISAPOTI STARS

Ofisa Uhusiano wa Halotel Stellah Pius, akizunguza katika harambee ya kuichangia Taifa Stars iloiyofanyika jijini Dar es Salaam. Halotel ilichangia shilingi milioni 10/-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Halotel katika harambee ya kuchangia timu ya Taifa Stars ambapo kampuni hiyo ilichangia milioni 10/-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipeana mkono na Ofisa Uhusiano wa Halotel, Stellah Pius, wakati wa uzinduzi wa harambee ya kuchangia Taifa Stars ambapo Jumla ya Shilingi Milioni 370 zilichangishwa hapo hapo.

No comments:

Post a Comment

Pages