Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akizindua Harambee ya kuchangia Timu ya Taifa Stars ilioyofanyika
leo Juni 20, 2019 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam ambapo Jumla ya
Shilingi Milioni 370 zilichangishwa hapo hapo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akiweka saini kwenye Jezi Mpya ya Timu ya Taifa Stars ikiwa ni
ishara ya Uzinduzi wa Jezi hiyo wakati wa Harambee ya kuchangia Timu ya Taifa
Stars ilioyofanyika leo Juni 20, 2019 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar Es
Salaam ambapo Jumla ya Shilingi Milioni 370 zilichangishwa hapo hapo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akipokea Hundi ya Shilingi Milioni 10 kutoka kwa Viongozi wa CRDB
Bank ikiwa ni mchango kwa Timu ya Taifa Stars kwenye Harambee ya kuchangia Timu
ya Taifa Stars ilioyofanyika leo Juni 20, 2019 katika Hoteli ya Serena Jijini
Dar Es Salaam ambapo Jumla ya Shilingi Milioni 370 zilichangishwa hapo hapo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wachangiaji kwenye Harambee
ya kuchangia Timu ya Taifa Stars ilioyofanyika leo Juni 20, 2019 katika Hoteli
ya Serena Jijini Dar Es Salaam ambapo Jumla ya Shilingi Milioni 370 zilichangishwa
hapo hapo.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

hapo hapo.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na msemaji wa Timu ya Simba Haji
Manara kwenye Harambee ya kuchangia Timu ya Taifa Stars ilioyofanyika leo Juni
20, 2019 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam ambapo Jumla ya Shilingi
Milioni 370 zilichangishwa hapo hapo.
No comments:
Post a Comment