Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited Bw. Rostam Aziz alipowasili kuzindua Ghala na Mitambo ya Gesi ya LPG vya Kampuni hiyo huko Vijibweni, Kigamboni, jijini Dar es Salam leo Juni 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akitembezwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited Bw. Rostam Aziz kuangalia Ghala na Mitambo ya Gesi ya LPG vya Kampuni hiyo kabla ya kuvizindua huko Vijibweni, Kigamboni, jijini Dar es salam leo Juni 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa uzinduzi wa Ghala na Mitambo ya kuchakata Gesi ya LPG vya Kampuni ya Taifa Gas Tanzania huko Vijibweni, Kigamboni, jijini Dar es salam leo Juni 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli
akihutubia wakati wa uzinduzi wa Ghala na Mitambo ya kuchakata Gesi ya
LPG vya Kampuni ya Taifa Gas Tanzania huko Vijibweni, Kigamboni, jijini Dar es salam leo Juni 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited Bw. Rostam Aziz baada ya kuzindua Ghala na Mitambo ya Gesi ya LPG vya Kampuni hiyo huko Vijibweni, Kigamboni, jijini Dar es salam leo Juni 25, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri wa Nishati Dk. Medard Kalemani, Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi ya Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited Bw. Rostam Aziz na
na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Bw. Hamisi Ramadhani wakisiliza
maelezo ya namna mitambo ya kuchakata gesi inavyofanya kazi wakati wa
uzinduzi wa Ghala na Mitambo ya Gesi ya LPG vya Kampuni hiyo huko
Vijibweni, Kigamboni, jijini Dar es Salam leo Juni 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Nishati Dk. Medard Kalemani, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited Bw. Rostam Aziz na viongozi wengine akikata utepe kuashiria kuzinduliwa kwa Ghala na Mitambo ya Gesi ya LPG vya Kampuni hiyo huko Vijibweni, Kigamboni, jijini Dar es salam leo Juni 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited Bw. Rostam Aziz na viongozi wengine akifunia pazia kuashiria kuzinduliwa kwa Ghala na Mitambo ya Gesi ya LPG vya Kampuni hiyo huko Vijibweni, Kigamboni, jijini Dar es salam leo Juni 25, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia mikono wananchi kwa furaga huku akiwa na msichana baada ya kuzindua Ghala na Mitambo ya Gesi ya LPG vya Kampuni ya Taifa Gas
Tanzania Limited huko Vijibweni, Kigamboni, jijini Dar es Salam leo Juni 25, 2019. PICHA NA IKULU.
Tanzania Limited huko Vijibweni, Kigamboni, jijini Dar es Salam leo Juni 25, 2019. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment