HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 09, 2019

BENKI YA CRDB YADHAMINI BANDA LA CHAMA CHA WANAWAKE WAFANYABIASHARA TANZANIA KATIKA MAONESHO YA SABASABA


Ofisa wa Benki ya CRDB, Gloria Kaale, akitoa maelezo kwa wananchi kuhusu huduma wanazotoa kwenye Maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa 'Sabasaba' katika Banda la Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC), ambapo Benki ya CRDB wamedhamini wafanyabiashara hao. (Picha na Francis Dande).

Ofisa wa Benki ya CRDB, Gloria Kaale, akitoa maelezo kuhusu hudumza wanazotoa katika Banda lao lililopo ndani ya Jengo la Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC), kwenye Maonyesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba’ ambapo benki hiyo imedhamini wafanyabiashara hao.

Baadhi ya wateja wakipata huduma kwenye Benki ya CRDB tawi la Sabasaba.

Wananchi waliotembelea Banda la Benki ya CRDB katika maonesho ya Sabasaba wakipata maelezo kuhusu huduma za Bima.

Wananchi waliotembelea Banda la Benki ya CRDB katika maonesho ya Sabasaba wakipata huduma mbalimbali.

Ofisa wa Benki ya CRDB akichukua taswira kwa mteja.

Ofisa wa Benki ya CRDB, Frank Mwisombe, akitoa maelekezo kwa mteja wa benki hiyo wakati akifungua akaunti mpya kwenye Maonesho ya Sabasaba.

Mteja akiweka alama ya dole gumba kukamilisha zoezi la kufungua akaunti katika Benki ya CRDB. Kulia anayeshuhudia ni Meneja Mahusiano wa benki hiyo, Rachel Senni na katikati ni Ofisa wa Benki ya CRDB, Frank Mwisombe.

Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB, Rachel Senni, akitoa maelezo kuhusu huduma wanazotoa kwa wananchi waliofika katika katika banda la Benki ya CRDB.

Baadhi ya bidhaa za wafanyabiashara waliodhaminiwa na Benki ya CRDB waliopo katika banda la Chama cha Wafanyabiashara Wanawake Tanzania (TWCC).


Mfanyabiashara wa vipodozi vya asili akionesha bidhaa zake kwenye Banda la TWCC.

Wafanyabiashara wa bidhaa za zitokanazo na ngozi wakionyesha viatu mbalimbali wanavyotengeza.

Mteja akiangalia viatu vinavyotengenezwa na watanzania alipotembelea banda la TWCC.

Wafanyabiashara wa vito wakiwa katika maonesho ya Sabasaba.

Baadhi ya wananchi wakipata maelezo katika banda la Dawa za asili katika Maonnesho ya Sabasaba katika Banda la Chama cha Wafanyabiashara Wanawake Tanzania (TWCC), linalodhaminiwa na Benki ya CRDB.

Wateja wakinunua bidhaa mbalimbali katika banda la TWCC.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Anchila Product's ya jijini Mwanza, Sitta Tuma, akitoa maelezo ya namna wanavyotengeneza Wine ya Rozela, Unga wa Mhogo, Dagaa na Rozela yenyewe kwa matumizi ya Chai pamoja na Juice.
Banda la Afya Lishe.

No comments:

Post a Comment

Pages