HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 03, 2019

MATUKIO KIKAO KAZI CHA KAMATI ELEKEZI YA TAIFA YA ULINZI WA WANAWAKE NA WATOTO


Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji) Bi.Dorothy Mwaluko akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa kikao cha Kamati Elekezi ya Taifa ya Ulinzi wa Wanawake na Watoto kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Magadu JWTZ mkoani Morogoro, kushoto ni Katibu mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. John Jingu.


Sehemu ya wajumbe wa kikao cha Kamati Elekezi ya Taifa ya Ulinzi wa Wanawake na Watoto wakifuatilia hoja za mwenyekiti wa kikao hicho ambaye ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji) Bi.Dorothy Mwaluko (hayupo pichani).

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Amon Mpanju akichangia hoja kuhusu sheria mbalimbali zinazowalinda watoto dhidi ya ukatili wakati wa kikao hicho.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji) Bi.Dorothy Mwaluko akiteta jambo na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro mara baada ya kufunga kikao hicho. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment

Pages