Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dkt. Tedross Adhamon Ghebreyesus. Mazungumzo hayo yamefanyika New York, Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dkt. Tedross Adhamon Ghebreyesus, mara baada ya kumaliza mazungumzo Jijini New York Nchini Marekani




No comments:
Post a Comment