Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini, SACP David Misime akizungumza na wajumbe wa Taasisi ya Kutoa Elimu ya Amani Tanzania hawapo pichani lengo likiwa ni kuwafundisha wajumbe hao juu ya namana ya kukabiliana na wavunjifu wa amani na namna ya kutatua matatizo yanayoweza kuwa na madhara makubwa kwa jamii kabla hayajatokea, kikao hicho kilifanyikia eneo la Mbagara wilayani Temeke jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Fimbo Hotel. (Picha na Jeshi la Polisi).
Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini, SACP David Misime akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Taasisi ya Kutoa Elimu ya Amani Tanzania njee ya ukumbi wa fimbo hotel na kushoto kwake ni Mkuu wa Kitengo cha Maboresho ya Jeshi la Polisi SACP Kiyondo na kulia kwa SACP Misime ni Rais wa Taasisi hiyo Willison George.
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment