Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha, (kushoto), akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (COSTECH), Dk. Amosi Nungu, wakati akiwasili kwenye uzinduzi wa programu maalumu ya kuwafundisha wanafunzi elimu ya kidigitali 'Africa Code Week'
Baadhi ya wanafunzi walioshiriki uzinduzi huo.
Balozi wa Ireland Paul Sherlock akizungumza wakati wa uzinduzi huo.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha, akisalimiana na mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa, Doreen Maliki.
Picha ya pamoja.
Balozi wa Ireland Paul Sherlock akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha, (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (COSTECH), Dk. Amosi Nungu, wakati wa uzinduzi wa Wiki ya 'Code' ya Kiafrika.
Mkurugenzi
Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (COSTECH), Dk.
Amosi Nungu, akizungumza wakati wa uzinduzi wa programu maalumu ya kuwafundisha wanafunzi elimu ya kidigitali 'Africa Code Week' jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wanafunzi walioshiriki uzinduzi huo.
Balozi wa Ireland Paul Sherlock akizungumza wakati wa uzinduzi huo.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha, akizungumza katika uzinduzi wa
Picha ya pamoja.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha, akiwa katika picha ya pamoja na waratibu wa mafunzo hayo.
No comments:
Post a Comment