HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 29, 2019

SIMBA YAZIDI KUJITITA KILELENI, YAIFUNGA BIASHARA UNITED 2-0

 Mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere (kulia), akipongezwa na Miraji Athuman (21), baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza dhidi ya Biashara United katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Karume mjini Musoma mkoani Mara. Simba imeshinda 2-0. (Picha na Simba).
 Meddie Kagere na Miraji Athuman (21) wakishangilia na mashabiki wa timu hiyo baada ya Kagere kuipatia timu yake bao la kwanza.
Kagere akiifungia timu yake bao la kwanza dhidi ya Biashara United.
 Pascal Wawa akitoka hotelini baada ya mechi yao tayari kwa safari ya kuelekea jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment

Pages