HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 27, 2019

TAEC YATOA MAFUNZO YA UCHUNGUZI WA MIONZI KWA WAFANYAKAZI WA TPA

 
  Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC), Prof. Lazaro Busagala, akizungumza wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya uchunguzi wa mionzi kwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es Salaam. (Na Mpiga Picha Wetu).
Washiriki wa mafunzo hayo.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo.


Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC), Prof. Lazaro Busagala (wa pili kushoto), akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya uchunguzi wa mionzi, Frank Mwamakula, ambaye ni mmoja wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).  Mafunzo hayo yametolewa leo na Tume hiyo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages