Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli akihutubia viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya Tanzania katika mkutano wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Nordic uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International
Convention Centre (JNICC).
Convention Centre (JNICC).
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli
akihutubia viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya Tanzania katika
mkutano wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Nordic
uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International
Convention Centre (JNICC).
Convention Centre (JNICC).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri waMambo ya Nje wa nchi za Afrika na Nordic mara baada ya mkutano huo wa Nordic uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre(JNICC).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway Ine Marie Eriksen Soreide kabla ya kuanza mazungumzo katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Sweden Ann Linde katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Sweden Dk. Wilbroad Slaa mara baada ya kufungua mkutano wa 18 wa Mawaziri wa nchi za Afrika na Nordic uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC).

Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Kikwete mara baada ya kufungua mkutano wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Nordic uliofanyika katika ukumbi wa
Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC).

Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya kinyago cha mpingo Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway Ine Marie Eriksen Soreide kabla ya kuanza mazungumzo yao katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention
Centre (JNICC).

Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Finland Pekka Haavisto kabla ya kuanza mazungumzo yao katika ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC). PICHA NA
IKULU.

No comments:
Post a Comment