Katibu
wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akizungumza na Jaji Mstaafu wa
Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Joaquine De Mello alipomtembelea
leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai
akizungumza na Viongozi wa Taasisi ya Vyombo vya habari Kusini mwa Afrika Tawi
la Tanzania (MISA TAN) katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Bungeni
Jijini Dodoma. Kikao hicho kilihusu ushirikiano wa pamoja kati ya Ofisi ya
katibu wa Bunge na MISA TAN.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai
akizungumza na Viongozi wa Taasisi ya Vyombo vya habari Kusini mwa Afrika Tawi
la Tanzania (MISA TAN) katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Bungeni
Jijini Dodoma. Kikao hicho kilihusu ushirikiano wa pamoja kati ya Ofisi ya
katibu wa Bunge na MISA TAN.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akisalimiana
na Viongozi wa Taasisi ya Vyombo vya habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania
(MISA TAN) kabla ya kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Bungeni Jijini
Dodoma. Kikao hicho kilihusu ushirikiano wa pamoja kati ya Ofisi ya katibu wa
Bunge na MISA TAN.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (katikati)
katika picha ya pamoja na Viongozi wa Taasisi ya Vyombo vya habari Kusini mwa
Afrika Tawi la Tanzania (MISA TAN) baada ya kikao kilichofanyika leo Ofisini
kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kikao hicho kilihusu ushirikiano wa pamoja kati ya
Ofisi ya katibu wa Bunge na MISA TAN, ugeni huo ulioongozwa na Mkurugenzi wa
Taasisi ya Vyombo vya habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania, Ndg. Gasirigwa
Sengiyumva (wa pili kulia). (PICHA
NA OFISI YA BUNGE).
No comments:
Post a Comment