HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 31, 2019

WAZIRI KIGWANGALLA NA KATIBU WAKE WAKALIA KUTI KAVU, WAPEWA SIKU 5 ZA KUJIREKEBISHA NA RAIS MAGUFULI

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Uongozi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA)  pamoja na maafisa na askari wa Jeshi Usu la Mamlaka hiyo wakati alipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo leo Jumanne Desemba 31, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA)  pamoja na maafisa na askari wa Jeshi Usu la Mamlaka hiyo wakati alipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo leo Jumanne Desemba 31, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA)  pamoja na maafisa na askari wa Jeshi Usu la Mamlaka hiyo wakati alipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo leo Jumanne Desemba 31, 2019.
 Sehemu ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo kama inavyoonekana kutoka angani leo Jumanne Desemba 31, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipanda Kivuko kuelekea  Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo leo Jumanne Desemba 31, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia mkono boti lililobeba watalii wakati wakielekea  Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo ambako yeye pia alitembelea leo Jumanne Desemba 31, 2019.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakielezwea jambo kuhusu sehemu ya Ziwa Victoria na Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA Dkt. Allan Kijazi alipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo leo Jumanne Desemba 31, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na familia ya watalii ya klutoka Ufaransa ya Bw. Arnaud de Vanssay  aliokutana nao wakati akitembelea Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo leo Jumanne Desemba 31, 2019. (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Pages