

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti Sera na Uchumi (REPOA), Dk. Donald Mmari, akizungumza wakati wa hafla ya kusaini mkataba wa ushirikiano na Benki ya CRDB.


Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo, akisaini mkataba huku Mkuu wa Kitengo cha Mikakati Benki ya CRDB, Jessica Nyachiro, akishuhudia.Afisa Mkuu wa Biashara wa Benki ya CRDB, Dk. Joseph Witts (kulia) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti, Sera na Uchumi (REPOA), Dk. Donald Mmari, wabadilishana mikataba waliyosaini.Afisa Mkuu wa Biashara wa Benki ya CRDB, Dk. Joseph Witts (kulia) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti Sera na Uchumi (REPOA), Dk. Donald Mmari, wakionesha mikataba waliyosaini.
No comments:
Post a Comment