Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Jengo la Intelijensia TAKUKURU Makao
Makuu Dodoma, Agosti 12, 2020. Wa pili kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi
ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni
Mstaafu, George Mkuchika, kulia ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Mary Mwanjelwa na
kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbugo.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipofungua Jengo la Intelijensia TAKUKURU Makao Makuu Dodoma, Augosti 12, 2020. Kushoto ni Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Kapteni Mstaafu, George Mkuchika, wa tatu kushoto ni Naibu Waziri,
Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Mary Mwanjelwa na kushoto ni
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbugo na kulia ni
Mkurugenzi wa Intelijensia TAKUKURU, Emmanuel Kiyabo. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni
Mstaafu, George Mkuchika (wa pili kulia) na Naibu Waziri, Ofisi ya
Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary
Mwanjelwa (kushoto) baada ya kufungua Jengo la Intelijensia TAKUKURU
Makao Makuu Dodoma, Agosti 12, 2020. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi
Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbugo . (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu, George
Mkuchika (wa pili kulia) na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary Mwanjelwa (kushoto)
baada ya kufungua Jengo la Intelijenzia TAKUKURU Makao Makuu Dodoma,
Agosti 12, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment