RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika kikao cha Utekelezaji Mpango Kazi kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2020/2021 , kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ndg. Salum Maulid na (kulia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee. (Picha na Ikulu)
BAADHI ya Watendaji wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, wakifuatilia ripoti ya Utekelezaji Mpango Kazi kwa kipindi cha mwaka fedha 2020/2021, wakati ikiwasilishwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ndg. Salum Maulid (hayupo pichani) kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu, akiwasilisha muktasari wa Ripoti ya Utekelezaji Mpango9 Kazi wa Ofisi yake kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2020/2021, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibaer (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na ( kulia) Mshauri wa Rais Masuala ya Ardhi,Nyumba Maji na Nishati Mhe. Burhan Saadat Juma.
Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu, akiwasilisha muktasari wa Ripoti ya Utekelezaji Mpango9 Kazi wa Ofisi yake kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2020/2021, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibaer (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na ( kulia) Mshauri wa Rais Masuala ya Ardhi,Nyumba Maji na Nishati Mhe. Burhan Saadat Juma.
KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg.Salum Maulid, akiwasilisha ripoti ya Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021,kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(kulia kwake) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto) Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ndg. Salum Kassim Ali.
MKURUGENZI Idara ya Mawasiliano Ikulu Ndg. Hassan Khatib, akitowa maelezo wakati wa Kikao cha Utekelezaji Mpango Kazi kwa Kipindi cha mwaka wa fedha 2020/2021. Kilichoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,17/8/2020.
WASHAURI wa Rais wakifufuatilia Kikao cha kuwasilisha ripoti ya Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakati katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ndg. Salum Maulid, akisoma ripoti hiyo. (hayupo pichani).
MSHAURI wa Rais Masuala ya Historian a Mambo ya Kale Mhe.Ali Mzee Ali, akichangia wakati wa Kikao cha Utekelezai Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021, kilichofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment