Mgombea wa nafasi ya umakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Salum Mwalimu, akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Monduli leo Septemba 15, 2020.
Mgombea wa nafasi ya umakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Salum Mwalimu, akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Monduli leo Septemba 15, 2020.
Mgombea wa nafasi ya umakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Salum Mwalimu, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Monduli, Cecy Ndossi, leo Septemba 15, 2020.Mgombea wa nafasi ya umakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalimu, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Monduli, Cecy Ndossi, leo Septemba 15, 2020.Mgombea ubunge jimbo la Monduli, Cecy Ndossi, akizungumza wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Mto wa Mbu, leo Septemba 15, 2020.
Baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakiwa katika mkutano wa kampeni jimbo la Monduli.
Ulinzi ukiwa umeimarishwa.Baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakifuatilia mkutano wa kampeni za mgombea nafasi ya umakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Salum Mwalimu uliofanyika katika jimbo la Monduli.
Mgombea wa nafasi
ya umakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA,
Salum Mwalimu, akizungumza na wakazi wa Karatu Mjini baada ya kusimamisha msafara wake wakati akielekea kuhutubia mkutano wa kampeni katika viwanja vya Bassodawishi jimbo la Karatu mkoani Arusha leo
Septemba 15, 2020.
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa CHADEMA.
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa CHADEMA.
Mgombea
wa nafasi
ya umakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA,
Mhe. Salum Mwalimu, akihutubia mkutano wa kampeni katika viwanja vya Bassodawishi jimbo la Karatu mkoani Arusha leo
Septemba 15, 2020.Mgombea
wa nafasi
ya umakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA,
Mhe. Salum Mwalimu, akihutubia mkutano wa kampeni katika viwanja vya Bassodawishi jimbo la Karatu mkoani Arusha leo
Septemba 15, 2020.
No comments:
Post a Comment