Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Magomeni Kata ua Kirumba jimbo la Ilemela mkoani Mwanza.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Magomeni Kata ua Kirumba jimbo mla Ilemela mkoani Mwanza.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wsa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalim, akiwasalimia wakazi wa Kijiji cha Guliguli jimbo la Maswa Mashariki wakati akielekea katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Oktoba 23, 2020 katika Kijiji cha Marwilo jimbo la Kisesa mkoani Simiyu.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Serengeti, Gimbi Masaba, akizungumza na wananchi kabla ya kumkaribisha mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Salum Mwalim wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo Oktoba 23, 2020 katika Kijiji cha Marwilo jimbo la Kisesa mkoani Simiyu..
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalim akimnadi mgombea ubunge jimbo la Kisesa, Francis Kishabi.
Wananchi.......mkutanoni
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wsa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo Oktoba 23, 2020 katika Kijiji cha Marwilo jimbo la Kisesa mkoani Simiyu.Wananchi wakishangilia wakati mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wsa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo Oktoba 23, 2020 katika Kijiji cha Marwilo jimbo la Kisesa mkoani Simiyu.
Wananchi wakisikiliza sera za mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wsa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalim, wakati akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo Oktoba 23, 2020 katika Kijiji cha Marwilo jimbo la Kisesa mkoani Simiyu.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wsa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe. Salum Mwalim, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo Oktoba 23, 2020 katika Kijiji cha Marwilo jimbo la Kisesa mkoani Simiyu.
Mgombea ubunge jimbo la Kisesa mkoani Simiyu, Francis Kishabi, akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kijiji cha Marwilo mkoani Simiyu.
Mgombea ubunge jimbo la Kisesa, Francis Kisesa, akimtunza msanii wa muziki wa kizazi kipya wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika Kijiji cha Marwilo jimbo la Kisesa mkoani Simiyu.
No comments:
Post a Comment