HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 07, 2020

UTT AMIS YAFANYA MKUTANO WA MWAKA KWA WAWEKEZAJI WA MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA

 

Wawekezaji wa Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja wakifanya usahili kabla ya kuingia katika ukumbi wa mikutano wakati wa Mkutano wa Mwaka uliofanyika Novemba 28-29, 2020 jijini Dar es Salaam.

Wawekezaji wakiwa katika mkutano wa mwaka.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi UTT AMIS, Casmir Kyuki, akifungua Mkutano wa Mwaka kwa Wawekezaji wa Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi UTT AMIS, Casmir Kyuki, akifungua Mkutano wa Mwaka kwa Wawekezaji wa Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja.

Mkurugenzi Mtendaji wa UTT AMIS, Simon Migangala, akizungumza wakati wa mkutano huo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi UTT AMIS, Casmir Kyuki, akiongoza kikao cha Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja.

Wawekezaji wakipitia taarifa za kikao.
Wajumbe wa Bodi ya UTT AMIS wakiwa katika mkutano huo.


Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi UTT AMIS, Casmir Kyuki,akizindua mfuko wa Wealth Management.

Watoto wakipitia taarifa za Mfuko wa Watoto wakati wa Mkutano wa Mwaka kwa Wawekezaji wa Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja.



Mwakilishi wa Benki ya CRDB ambao ndio waangalizi wa Mifuko.

Mwakilishi kutoka kampuni ya ukaguzi wa hesabu akitoa taarifa ya ukaguzi wa hesabu za mifuko hiyo.






Mwekezaji akiuliza swali.
Mkurugenzi wa Masoko na Mahusiano UTT AMIS, Daud Mbaga akijibu maswali ya Wawekezaji.
Mwekezaji David Mwaibula akiuliza swali.








Naibu Waziri wa Fedha wa zamani, Monica Mbega akiuliza swali katika mkutano wa Wawekezaji wa Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja.

No comments:

Post a Comment

Pages