Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kyaka Misenyi mkoani Kagera wakati akielekea Wilayani Karagwe.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bukoba mara baada ya
kuzungumza nao.
Sehemu ya
Wananchi wa Kyaka Wilayani Misenyi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati aliposimama kuwasalimia leo
tarehe 19 Januari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bukoba mara baada ya kuzungumza nao.
No comments:
Post a Comment