Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (katikati), akipata
maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Tobi Peanut Butter, Agatha Laizer
kuhusu bidhaa wanazozalisha wakati wa kufunga mafunzo ya Wanawake
Wajasiriamali yaliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na
kudhaminiwa na benki hiyo. Wa tatu kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Mfuko
wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Anna Mkapa. (Na Mpiga Picha Wetu).
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto)
na Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Anna Mkapa,
wakimkabidhi cheti mwakilishi wa taasisi ya TAYOA kwa kutambua mchango
wa taasisi hiyo wakati wa kufunga mafunzo ya Wanawake Wajasiriamali
yaliyofanyika jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na Benki ya CRDB
mwishoni mwa wiki.
Mwenyekiti wa
Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Anna Mkapa, akimkabidhi cheti
Meneja Bidhaa Mwandamizi wa Huduma za kibenki kwa Wanawake Benki ya
CRDB, Rachel Senni, kwa kutambua mchango wa benki hiyo ambayo ilidhamini
mafunzo ya Wanawake Wajasiriamali yaliyofanyika jijini Dar es Salaam,
mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB,
Mkurugenzi Abdulmajid Nsekela.
Mwenyekiti wa
Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Anna Mkapa, akimkabidhi cheti
Meneja Bidhaa Mwandamizi wa Huduma za kibenki kwa Wanawake Benki ya
CRDB, Rachel Senni, kwa kutambua mchango wa benki hiyo ambayo ilidhamini
mafunzo ya Wanawake Wajasiriamali yaliyofanyika jijini Dar es Salaam,
mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB,
Mkurugenzi Abdulmajid Nsekela.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, akitoa hotuba yake wakati
wa kufunga mafunzo ya Wanawake Wajasiriamali yaliyofanyika jijini Dar
es Salaam, mwishoni mwa wiki na kudhaminiwa na benki hiyo.
Mwenyekiti wa
Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Anna Mkapa, akitoa hotuba yake
wakati wa kufunga mafunzo ya Wanawake Wajasiriamali yaliyofanyika jijini
Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki na kudhaminiwa na benki hiyo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia), akizungumza na
Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Anna Mkapa, wakati wa
kufunga mafunzo ya Wanawake Wajasiriamali yaliyofanyika jijini Dar es
Salaam, mwishoni mwa wiki na kudhaminiwa na benki hiyo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) na Mwenyekiti
wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Anna Mkapa, wakimkabidhi cheti
cha mafunzo ya Wanawake Wajasiriamali, Esther Sumaye, yaliyofanyika
jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki na kudhaminiwa na benki hiyo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto), akipogezwa
Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Anna Mkapa mara baada
ya kutoa hotuba yake wakati wa kufunga mafunzo ya Wanawake
Wajasiriamali yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki na
kudhaminiwa na benki hiyo.






No comments:
Post a Comment