Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Melchior Ndadaye Jijini Bujumbura Burundi baada ya kukamilisha ziara yake ya Kitaifa ya siku mbili Nchini Burundi leo Julai 17,2021. (Picha na Ikulu).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali katika uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili wakati akitokea nchini Burundi leo tarehe 17 Julai, 2021 baada ya ziara yake ya siku mbili nchini humo.
No comments:
Post a Comment