Mtendaji Mkuu wa Mifuko ya Uwekezaji wa pamoja UTT-AMIS, Simon Migangala (kushoto) akizungumza wakati Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhandisi Hamad Masauni alipotembelea ofisi za UTT AMIS Julai 30, 2021, ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kutembelea taasisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na menejimenti na wafanyakazi wa Kampuni ya UTT AMIS alipotembelea ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam UTT AMIS Julai 30, 2021, ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kutembelea taasisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango.Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhandisi Hamad Masauni akiwa katika picha ya kumbukumbu alipotembelea UTT AMIS siku ya Ijumaa tarehe 30, Julai 2021, ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kutembelea taasisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango.
No comments:
Post a Comment