HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 18, 2021

Benki ya Stanbic yatoa mitungi ya gesi kwa Hospitali ya Bugando



 Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia wa Benki ya Stanbic, Mussa Ally akikabidhi mitungi 7 ya oksijeni yenye thamani ya Shilingi Milioni 4.5 kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Eng. Robert Gabriel kwaajili ya Hospitali ya Bugando jijini Mwanza, katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika hivi karibuni. Mchango huo ni moja ya mkakati wa benki ya Stanbic kusaidia sekta ya Afya nchini.


No comments:

Post a Comment

Pages