HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 11, 2021

HABARI PICHA KUTOKA JIJINI DODOMA

 Waziri wa Maji Juma Aweso, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma kuhusu miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara.Hatua mbalimbali ilizochukua wizara hiyo kuwafikishai maji sehemu zao tangu kupatikana kwa uhuru hadi leo.

 Mkurugenzi Msaidizi Idara ya habari Maelezo Zamaradi Kawawa (wakwanza Kushoto), akiwa na maofisa wa Wizara ya Maji waliokuwa wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.


Waziri wa Maji Juma Aweso, akiondoka katika eneo la mkutano baada ya kumzaliza kuzungumza na wanahabari jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mafunzo kwa wabunge wanawake yaliyochini ya Chama cha Waajiri nchini (ATE) na ufadhili wa nchi ya Norway na shirika la Kazi Duniani ILO.Uzinduzi huo ulifanyika ukumbi wa Msikwa Bungenbi jijini Dodoma leo .


Spika Job Ndugai, akizungumza katika uzinduzi wa mafunzo kwa wabunge wanawake yaliyochini ya Chama cha Waajiri nchini (ATE) na ufadhili wa nchi ya Norway na shirika la Kazi Duniani ILO.Uzinduzi huo ulifanyika ukumbi wa Msekwa Bungeni jijini Dodoma.

Wabunge Almas Maige, akibadsilishana mawazo na maofisa wa Ubalopzi wa Norway baada ya ufnguzi wa mafunzo hayo.

Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, akichangia marekebisho ya sheria ndogo bungenbi leo.

Mbunge wa Nkasi Kazkazini, Aida Kenani, akichangia katika marekebisho ya sheria ndogo bungeni leo.

Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya kudumu ya Bunge Stephen Rweikiza, akiwasilisha mushwada wa marekebisho ya sheria ndogo bungeni leo.

No comments:

Post a Comment

Pages