Naibu Waziri wa Mambo ya ndani Jumanne Sagini. akimsikiliza Constantne Biseko, Afisa Uchunguzi Mkuu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, wakati alipotembelea banda la Tume hiyo lililopo katika maadhimisho ya wiki ya sheria nchini.
Mkaguzi wa Jeshi la Polisi nchini, Ivonia Mdenye (mwenye kipaza sauti), akimweleza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Jumanne Sagini jinsi jeshi hilo linavyotekeleza majukumu yake.
Afisa Sheria Msaidizi ofisi ya Msaada wa Kisheria wa IHRC, Rose Charles Nyatega,akimfafanulia jambo Naibu Waziri alipotembelea banda lao lililopo katka maadhimisho ya wiki ya sheria jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Huduma za Sayansi Jinai wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, David Elias, akimfafanulia jambo Naibu Waziri alipofika katika banda lao.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Innocent Bashungwa, akiwa ameongozana na Naibu wa Wizara hiyo David Silinde, wakiwasili katika ukumbi wa Wizara hiyo jijini Dodoma jana kwa ajili ya usomaji wa Taarifa ya ukusanyaji mapato katika Halmashauri nchini kwa nusu mwaka 2021 na 2022. Picha na Deus Mhagale.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Innocent Bashungwa, akisoma taarifa ya ukusanyaji mapato katika Halmashauri nchini kwa nusu mwaka 2021 na 2022. Picha na Deus Mhagale.
No comments:
Post a Comment