Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akiwasili katika kanisa la
Kawekamo jijini Mwanza kuhudhuria Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka
mmoja wa kifo cha mumewe leo Jumapili Machi 2022.
Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akipokea Komunyo
Takatifu toka kwa Askofu Mkuu Jimbo la Kuu Mwanza Askofu Renatus Leonard
Nkwande aliyeongoza Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo
cha Dkt. Magufuli leo Jumapili Machi 2022.
Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akiwasili katika kanisa la
Kawekamo jijini Mwanza kuhudhuria Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka
mmoja wa kifo cha marehemu mumewe leo Jumapili Machi 2022. Pamoja naye
ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge
wa Ilemela Mhe. Angeline Mabula, Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mhe. Amina
Makilagi, Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Mhe. Ngusa Samike na Mwenyekiti
wa Baraza la vyama vya Siasa Mhe. John Magale Shibuda.
Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akitoa sadaka katika kanisa
la Kawekamo jijini Mwanza alipohudhuria Misa Maalumu ya kumbukizi ya
mwaka mmoja wa kifo cha mumewe leo Jumapili Machi 2022.
Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akimshukuru
Askofu Mkuu Jimbo la Kuu Mwanza Askofu Renatus Leonard Nkwande
aliyeongoza Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha Dkt.
Magufuli leo Jumapili Machi 2022.
Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akipata picha ya
pamoja na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Askofu Renatus
Leonard Nkwande, viongozi mbalimbali na mapadre na watawa baada ya Misa
Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha Dkt. Magufuli leo
Jumapili Machi 2022.
Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akiaga baada ya
kuhudhuria Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha Dkt.
Magufuli leo Jumapili Machi 2022.
Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akiwa pamoja na Askofu Mkuu
wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Askofu Renatus Leonard Nkwande
akitembezwa sehemu aliyofikia Baba Mtakatifu Yohane Paulo ll mwaka 1990
katika kanisa la Kawekamo jijini Mwanza baada ya Misa Maalumu ya
kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha Dkt. Magufuli leo Jumapili Machi
2022.
Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, katika picha ya kumbukumbu
pamoja na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Askofu Renatus
Leonard Nkwande na kiti alichokalia Baba Mtakatifu Yohane Paulo ll
alipotembelea kanisa la Kawekamo jijini Mwanza mwaka 1990, ikiwa ni
baada ya Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha Dkt.
Magufuli leo Jumapili Machi 2022.
Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akiagana na Askofu Mkuu wa
Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Askofu Renatus Leonard Nkwande baada ya
Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha Dkt. Magufuli
katika kanisa la Kawekamo jijini Mwanza leo Jumapili Machi 2022. Picha na Muhidin Issa Michuzi.
No comments:
Post a Comment