HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 03, 2022

CRDB yawashika mkono watoto wanaoishi katika mazingira magumu Dar

Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Dar es Salaam, Badru Idd (kushoto), Meya wa Temeke, Abdallah Mtinika (wa pili kushoto) wakikabidhi mbuzi kwa mtoto Baraka Godfrey wakati walipotembelea na kuwafariji watoto wanaoishi katika mazingira magumu wa kituo cha Al-Azam Orphanage Center cha Mbagala mkoani Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Kituo hicho, Zainabu Said. (Na Mpigapicha Wetu).

Meya wa Temeke Abdallah Mtinika (kushoto) akiagana na Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Dar es Salaam, Badru Idd  marab baada ya kukabidhi msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha Al-Azam Orphanage Center.

No comments:

Post a Comment

Pages