HABARI MSETO (HEADER)


 


Breaking

July 24, 2022

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA KATI UNGUJA


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma maelezo ya Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Hospitali ya Wilaya ya Kati Pongwe Mwera, leo 23-7-2022, akiendelea na ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja, na (kushoto )Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui .(Picha na Ikulu).

MUONEKANO wa Jengo Jipya la Hospitali ya Wilaya ya Kati Pongwe Mwera iliyowekwa Jiwe la Msingi la Ujenzi huo, na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi , inayojengwa kwa Fedha za Mkopo nafuu wa Uviko-19 , akiendelea na ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja leo 23-7-2022.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Pages