HABARI MSETO (HEADER)


 


Breaking

July 28, 2022

WAZIRI MCHENGERWA ATEMBELEA KAMBI YA WANAMICHEZO WA TANZANIA WANAOSHIRIKI MICHEZO YA JUMUIYA YA MADOLA JIJINI BIRMINGHAM UINGEREZA LEO



Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji na viongozi wa Timu ya Taifa  inayoshiriki kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola inayoanza rasmi kesho jijini Birmingham, Uingereza, kesho Alhamisi Julai 28, 2022, akiwa  na Naibu Katibu Mkuu katika Wizara hiyo Mhe. Said Yakub, Mbunge wa Singida mjini Mhe Mussa Sima na Kaimu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa Neema Msitha.

No comments:

Post a Comment

Pages