Wabunge wa Viti Maalum, Hawa Mwaifunga (kushoto), Naghenjwa Kaboyoka (katikati) na Cecilia Pareso waliovuliwa uanachama na Chadema, wakijadiliana jambo ndani ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Oktoba 13, 2022. (PICHA NA FRANCIS DANDE).
Mbunge wa viti maalum aliyevuliwa uanachama Chadema, Grace Tendega
(kulia), akizungumza na mawakili wake katika Mahakama
Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Oktoba 13, 2022.
Hawa Mwaifunga akiingia katika chumba cha mahakama.
Hawa Mwaifunga (katikati) akiwa katika chumba cha mahakama.
Grace Tendega akitoka mahakamani leo.
No comments:
Post a Comment