HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 28, 2023

Benki ya CRDB yadhamini Kongamano la Wafanyabishara na wadau wa masuala ya fedha


Mkuu wa Kitengo cha Biashara Benki ya CRDB, Toyi Ruvumbagu, akizungumza wakati wa kongamano lililowakutanisha wajasiriamali, wadau wa masuala ya fedha na biashara lililoandaliwa na Mwananchi Communication nakufanyika katika ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam. Benki ya CRDB ilikuwa ni miongoni mwa wadhamini wa kongamano hilo.  (NA MPIGA PICHA WETU).
Meneja Mwandamizi wa Biashara Benki ya CRDB,
Agnes Kisinini,
akitoa mada wakati wa kongamano lililowakutanisha wajasiriamali, wadau wa masuala ya fedha na biashara lililoandaliwa na Mwananchi Communication nakufanyika katika ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam. Benki ya CRDB ilikuwa ni miongoni mwa wadhamini wa kongamano hilo.








No comments:

Post a Comment

Pages