HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 28, 2023

NMB yadhamini Kongamano la Wafanyabiashara Wadogo na wa Kati

 

Mkuu wa Idara ya Biashara Benki ya NMB, Alex Mgeni, (kulia), akitoa mada wakati wa kongamano lililowakutanisha wajasiriamali, wadau wa masuala ya fedha na biashara lililofanyika katika ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam. Benki ya NMB ilikuwa ni miongoni mwa wadhamini wa kongamano hilo. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Sayansi ya Masoko nchini. Dk. Emmanuel Chao.  (NA MPIGA PICHA WETU).

No comments:

Post a Comment

Pages