HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 29, 2023

CRDB yapongezwa kudhamini mbio za Mwenge 2023 Mkoa wa Dar es Salaam

  

Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Dar es Salaam, Badru Idd, akiwa ameshika Mwenge wa Uhuru 2023 kabla ya kuanza kukimbizwa katika Wilaya ya Kinondoni ukitokea Ubungo Mei 28, 2023. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule ameipongeza Benki ya CRDB pamoja na wadau wengine kwa udhamini wa mbio za Mwenge 2023 katika wilaya zote za Mkoa wa Dar es Salaam. 

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule (kushoto) akisalimiana na Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Dar es Salaam, Badru Idd, wakati wa mapokezi ya Mwenge wa Uhuru 2023 yaliyofanyika katika Shule ya Msingi Mabwepande mkoani Dar es Salaam.


Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Dar es Salaam, Badru Idd (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja Meneja wa CRDB Tawi la Kinondoni, Beatrice Bengesi,  Meneja wa Tawi la Mwananyamala, Paul Chacha, Meneja wa Tawi la Kijitonyama, Rosemary Nchimbi na Meneja wa Tawi la Magomeni, Asha Ramadhani.

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hashim Komba (katikati), akiagana na Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Dar es Salaam, Badru Idd, mara baada ya kukabidhi Mwenge wa Uhuru 2023 kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni.
 

No comments:

Post a Comment

Pages