HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 25, 2023

WACHEZAJI WA RIDHAA WAANZA MAANDALIZI KWA KISHINDO KILI GOFU

Wachezaji wa Ridhaa kutoka Klabu mbalimbali nchi Tanzania wameanza maandalizi kwa kishindo kuelekea shindano la Inspire African Golf Open" katika Uwanja wa Kili Gofu Jijini Arusha.


Wakizungumza katika viwanja hivyo wakati wakiendelea na maandalizi yao wamesema  wamejiandaa vizuri  wanasuburi siku ya shindano kuanza ili waoneshe umwamba wa mchezo wa Gofu nchini Tanzania.

Shindano hilo la "Inspire African Golf Open"  litaanza Ijumaa kwa wachezaji wa kulipwa na Jumamosi Na Jumapili kwa wachezaji wa Ridhaa wakiweno wanawake na watoto huku 

Kenya, Uganda, Ghana, Afrika Kusini Kongo, ,Nigeria pamoja na wenyeji Tanzania Kushiriki shindano Hilo .

No comments:

Post a Comment

Pages