HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 20, 2023

COSTECH yatoa elimu kuhusu ubunifu kwa washiriki wa Programu ya Benki ya CRDB ya Imbeju

 

  

Meneja wa Uhawilishaji na Uendelezaji wa Teknolojia Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (COSTECH), Dk. Athuman Mgumia akitoa mada juu ya uwezo wa ubunifu kwa washiriki wa Programu ya Benki ya CRDB ya Imbeju inayolenga kutoa mtaji wezeshi kwa vijana na wanawake inayoendelea jijini Dar es Salaam leo Juni 20, 2023.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo.


 

 Faith Pella akitoa mada juu ya elimu ya fedha kwa washiriki wa Programu ya Benki ya CRDB ya Imbeju inayolenga kutoa mtaji wezeshi kwa vijana na wanawake inayoendelea jijini Dar es Salaam leo Juni 20, 2023.



Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya  Sahara Ventures, Jumanne Mtambalike, akitoa kwa washiriki wa Programu ya Benki ya CRDB ya Imbeju namna ya kutumia masoko ya kidigitali (Digital Marketing).

No comments:

Post a Comment

Pages