HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 06, 2023

Rais Samia awaandalia Hafla ya Kuwapongeza Wachezaji wa timu ya Yanga, Ikulu Jijini Dar es Salaam

 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Medali kama ishara ya shukrani kutoka kwa Rais wa Klabu ya Yanga Eng. Hersi Said wakati wa hafla ya kuipongeza timu ya Yanga iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 June, 2023.

Wachezaji wa timu ya Yanga wakiwa kwenye hafla ya kupongezwa kwa kufanikiwa kufika na kucheza mchezo wa Fainali ya Mashindano ya Shirikisho Afrika (CAF) nchini Algeria. Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 June, 2023.

Viongozi, wachezaji wa zamani, waandishi wa Habari, watu maarufu, wasanii pamoja na wadau mbalimbali wa michezo wakiwa kwenye hafla ya kuipongeza timu ya Yanga iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 June, 2023.












 

No comments:

Post a Comment

Pages