HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 13, 2023

Sheria Ngowi awanoa wabunifu chipukizi Programu ya Imbeju jijini Dar

Mbunifu maarufu wa mavazi Sheria Ngowi, akitoa mada Dar es Salaam Juni 13, 2023 kwa baadhi ya wabunifu waliochaguliwa kwenye Programu ya Benki ya CRDB ya Imbeju inayolenga kutoa mtaji wezeshi kwa vijana na wanawake.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni  A-Trader, Andrew Tesha, akitoa mada juu ya uandaaji wa mfumo wa biashara kwa wafanyabiashara chikupikizi wakati wa mafunzo.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano Benki ya CRDB, Emmanuel Kiondo, akitoa mada juu ya matumizi ya vyombo vya habari katika kukuza biashara. 

Mkurugenzi Mkuu Kampuni ya Bima Benki ya CRDB, Wilson Mnzava, akitoa mada kuhusu masuala ya Bima kwa wafanyabiashara chipukizi.

No comments:

Post a Comment

Pages