HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 14, 2024

Benki ya CRDB yakabidhi zawadi kwa washindi wa Tisha na TemboCard Tukakiwashe...

Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi Benki ya CRDB, Stephen Adili (kushoto) na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Kadi Benki ya CRDB, Karington Chahe, wakikabidhi mfano wa tiketi ya ndege kwa washindi wa shindanpo la Shindano la Tisha na TemboCard tukakiwashe... Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.


Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi Benki ya CRDB, Stephen Adili, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi tiketi ya ndege kwa washindi wa shindanpo la Shindano la Tisha na TemboCard tukakiwashe... Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Kadi Benki ya CRDB, Karington Chahe, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi tiketi ya ndege kwa washindi wa shindanpo la Shindano la Tisha na TemboCard tukakiwashe... Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.




No comments:

Post a Comment

Pages