TAWA YAPOKEA MELI YA WATALII ZAIDI YA 200 KILWA KISIWANI HABARI MSETO 25.4.24 0 Na Beatus Maganja Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA leo Aprili 24, 2024 imepokea meli ya watalii wapatao 230 kutoka Matai... Read more »
Rais Samia Suluhu Hassan Atunuku Nishani Viongozi Mbalimbali katika shamrashamra za miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma HABARI MSETO 24.4.24 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mama Janeth Magufuli Nishani ya Mwalimu Julius Kambarage Nyer... Read more »
Bajeti 2024/25 iwezeshe walimu kuhusu mtaala mpya HABARI MSETO 23.4.24 0 Na Mwandishi Wetu SERIKALI imeshauriwa kutenga bajeti ya kutosha ili kuwapatia walimu wengi zaidi mafunzo ya Mtaala mpya kuwezesha utekelez... Read more »
Yashauriwa kutengwa bajeti ya vitabu vya kiada HABARI MSETO 23.4.24 0 Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi Mtendaji wa HakiElimu, Dk John Kalaghe ameshauri kutengwa kwa bajeti maalum kwa ajili ya uchapaji na usambazaji... Read more »
Suala la kuoana laibuka kongamano la Muungano HABARI MSETO 23.4.24 0 Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Mkwawa akizungumza katika Kongamano la maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano. Na Mwandishi Wetu H... Read more »
Wanawake wanaopitia changamoto za kiuchumi wapewa mafunzo HABARI MSETO 23.4.24 0 Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Macho kwa Jamii, Theresia Lihanjala (kulia), akizungumza jambo Wanawake wakifuatilia jambo kwenye mafunz... Read more »
NCAA YATOA ELIMU KWA WANAOTAKA KUHAMA KWA HIYARI NDANI YA HIFADHI HABARI MSETO 23.4.24 0 Na Mwandishi Wetu Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeendelea kuwaelimisha wananchi wanaojiandikisha kuhama kwa hiyari kutumia fidia ... Read more »