HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 01, 2013

WANAFUNZI 18 WAENDA KUSOMA KATIKA CHUO CHA UNIVERSITIES ABROADLINK LMT NCHINI MAREKANI

 Baadhi ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam, wakisafiri kwenda nchini Marekani kwa ajili ya kusoma masomo ya Diploma.
 Baadhi ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam, wakisafiri kwenda nchini Marekani kwa ajili ya kusoma masomo ya Diploma. Kulia ni Mkurugenzi wa Universities AbroadLink,Tony Kabetha.

No comments:

Post a Comment

Pages