HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 10, 2013

MKUTANO WA 6 WA WADAU WA MFUKO WA PENSHENI WA LPF KUFANYIKA ARUSHA

Mkurugenzi wa huduma kwa Wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa LPF , Bwana Valerian Mablanketi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Mkutano wa 6 wa wadau wa mfuko huo unaotarajia kufanyika Octoba 11 hadi 12 mwaka huu katika ukumbi wa mikutano wa AICC jijini Arusha,kulia  ni Meneja wa Mfuko huo kanda ya Dar es salaam Bi.Amina Khasim. (Picha na Ferdinand Shayo)

No comments:

Post a Comment

Pages