Ofisa Mafunzo wa Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), Hilder Joseph akifafanua jambo kwa watu waliotembelea banda la UTT katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa kewenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Ofisa Masoko Mwandamizi
wa UTT, Martha Mashiku akifafanua jambo watu waliofika katika banda la UTT.
Ofisa Masoko wa Mfuko wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania UTT,
Waziri Ramadhani akijaza fomu ya mtoto aliyejiunga na Mfuko wa Watoto wakati wa
Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (DITF), kwsenye Viwanja vya Mwalimu
Nyerere jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Ofisa Masoko Mwandamizi
wa UTT, Martha Mashiku.
Mtoto aliyejiunga na Mfuko wa watoto akipewa zawadi.




No comments:
Post a Comment