Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana Jumapili Julai 6, 2014 alitembelea kwa
mara ya pili maonesho ya kimataifa ya bishara katika viwanja vya Mwalimu
Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, baada ya ratiba yake
kutokamilika katika ziara yake aliyoifanya siku ya Jumamosi kutokana na
muda. Na kama ilivyo ada wananchi walifurahi kuwa naye karibu kama
ambavyo yeye pia alifurahi kujumuika nao kwenye maonesho hayo ya kila
mwaka. Watoto ndio waliokuwa wakimvutia zaidi Rais Kikwete ambapo kila
mara alisimama na kuwasalimia.
Jina lako nani?
Umependeza......nani kakuchora?
Umependeza......nani kakuchora?
Akiwa katika pozi na watoto.
Akisalimiana na wananchi katika viwanja vya Sabasaba.
Rais Kikwete akiondoka katika viwanja vya Sabasaba.











No comments:
Post a Comment