HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 24, 2014

BENKI YA MAENDELEO YAZINDUA MAENDELEO BANK INSURANCE AGENCY


Mkurugenzi mtendaji wa Maendeleo Benki,Ibrahim Mwangalaba (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa UAP,Nick Itunga kwa pamoja wakifunua pazia kuashiria uzinduzi wa huduma hiyo.
 Wakurugenzi wakifuatilia jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari.
 Mkurugenzi mtendaji wa Maendeleo Benki,Ibrahim Mwangalaba (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa UAP,Nick Itunga kwa pamoja wakifunua pazia kuashiria uzinduzi wa huduma hiyo.
 Mkurugenzi mtendaji wa Maendeleo Benki, Ibrahim Mwangalaba (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa UAP,Nick Itunga kwa pamoja wakipeana mikono baada ya Uzinduzi.
 Mkurugenzi Mtendaji wa UAP,Nick Itunga akizungumza na waandishi  wakati wa Uzinduzi.
 Viongozi wa Maendeleo Banki wakifuatilia jambo wakati wa Uzinduzi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Benki, Ibrahim Mwangalaba akizungumza wakati wa Uzinduzi.

DAR ES SALAAM, Tanzania

Maendeleo Bank PLC ni benki iliyoanzishwa na kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisya Mashariki na Pwani ambapo uanzishwaji wa benki hii ni utekelezaji waagizo la Mkutano Mkuu wa Dayosisi wa 2008. Mara tu baada ya benki kuanzishwa, mwezi Septemba mwaka 2013, ilisajiliwa katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) kupitia dirisha dogo yaani Enterprise Growth Market (EGM) ikiwa ni pekee na ya kwanza Tanzania kuanzishwa na kusajiliwa na DSE.



Kusudi kubwa la kuanzishwa kwa Maendeleo Bank PLC ni kufikisha huduma za kibenki kwa wananchi wa kipato cha chini na cha kati kwani hao ndio walio wengi na upatikanaji wa huduma za kibenki kwao ni changamoto kubwa. Benki hii imebuni huduma mbalimbalia mbazo zinawalenga wananchi wa kada mbalimbali, ikiwemo akaunti mbalimbali, kutuma na kupokea pesa kutoka nje na ndani ya nchi, huduma za ATM kupitia mitandao ya ATM za UMOJA Switch zaidiya 180 sehemu nyingi Tanzania na kutoa mikopo ya aina mbalimbali, ikiwemo kwa wajasiliamali wadogo ambayo haina dhamana, yaani mikopo ya vikundi.



Leo hii tunashuhudia Maendeleo Bank ikizindua huduma ya bima ikiwa ni lengo la kuwapatia wateja huduma zote muhimu ndani ya dari moja. Pia inachangia juhudi za serikali kuboresha na kufikisha elimu na huduma za bima kwa wananchi wengi ambao hawajafikiwa. Maendeleo Bank Insurance Agency imeanzishwa ili kuunga mkono mkakati wa Serikali wa huduma za kifedha jumuishi ambazo zitahamasisha wananchi wengi watumie na wafikiwe na huduma za kifedha ikiwa ni pamoja na bima.



Katikahudumazabima, Maendeleo Bank Insurance Agency imejipanga kutoa huduma zote za bima isipokuwa za maisha. Huduma zifuatazo zinapatikana Maendeleo Bank Insurance Agency: Bima za binafsi na za biashara zikiwemo bima za moto na wizi, bima za magari ya aina zote pamoja na mitambo, bima za nyumbana vitu vya majumbani, bima za wafanyakazi, bima za maofisini, bima za biashara, bima za wakandalasi, bima za vitu vinavyosafirishwanabimazaafya.



Akizungumzawakatiwauzinduziwa ‘’Maendeleo Insurance Agency ‘’ MkurugenziMtendajiwaMaendeleo Bank Ndugu Ibrahim Mwangalaba alisema ‘’Kwa kuungana na kampuni ya kimataifa ya Bima yaani, UAP Insurance nifaida kubwa kwa wateja wa Maendeleo Bank Insurance Agency kwani UAP Insurance inauwezomkubwawakubebabimazotezitakazopelekwakwaonaiwapoitatokeatatizolinalohitajikugharimiamadharayakilichowekewabima, basimtejawetuhatasumbukakwaniMaendeleo Bank Insurance Agency itafuatilia mambo yotekwamudamfupiiwezekanavyoilimtejaasisumbuke. 

Mwangalaba aliongeza ‘’ Bimabinafsi au zabiasharanimuhimumnokatikakulindakipatonamalizawatejawetu, uanzishwajiwahudumazabimanikuishikwavitendokatikakaulimbiuyetuyapamojanawekatikamaendeleo, kwanitunapendakuonamaendeleoyawatejawetuyakiendambelesikurudinyumakwamatukioyanayowezakuzuilikakwakuwanabima’’



DirayaMaendeleo Bank PlcniKuwabenki bora zaidi Tanzania ambayoinaendeshwakwakukidhimahitajiyawatejahukuikirudishafaidakwawanahisa.



Maendeleo Bank ilifunguamilangotakribanimieziminaneiliyopitanatangiakufunguamilangoyabenki, tumepatawatejawenyeakauntizaainambalimbalizaidiya5000 natumetoamikopokwawatejazaidiya2000 ikiwanimikopoyavikundi, wafanyakazinawafanyabiasharawadogonawakatiinayofikiatakribaniTshs. 4.60bn.



MAENDELEO BANK PLC.


No comments:

Post a Comment

Pages