HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 09, 2014

RAIS KIKWETE AVUTIWA NA NGUO ZINAZOTENGENEZWA NA KAMPUNI YA BINTI AFRICA UNIQUE COLORFUL QUALITY


Rais Jakaya Kikwete akichagua mashati yaliyomvutia kwa ubora yanayotengenezwa na Kampuni ya Binti Africa Unique Colorful Quality ya Jijini Dar es Salaam akiongozwa na Ofisa Mtendaji Mkuu na Meneja mwa na mitindo, Johari Kemmy Sadiq (kushoto), Rais alitembelea banda la Binti Africa kwenye Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yaliyomalizika juzi.Wengine Waziri wa Viwanda na Biashara Dk. Abdallah Kigoda wa pili kulia.


RaisJakayaKikwete (pili kulia) akichagua mashati yaliyomvutia kwa ubora yanayotengenezwa na Kampuni ya Binti Africa Unique Colorful Quality ya Jijini Dar es Salaam akiongozwa na Ofisa Mtendaji Mkuu na Meneja mwanamitindo, Johari Kemmy Sadiq (wa pili kushoto), Rais alitembelea banda la Binti Africa kwenye Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yaliyomalizika juzi. Wengine Mkurugenzi Mkuu wa Tantrade Jacqueline Maleko na Kaimu Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Raymond Mushi (katikati)


RaisJakayaKikwete (pilikulia) akichagua mashati yaliyomvutia kwa ubora yanayotengenezwa na Kampuni ya Binti Africa Unique Colorful Quality ya Jijini Dar es Salaam akiongozwa na Ofisa Mtendaji Mkuu na Meneja mwanamitindo, Johari Kemmy Sadiq (kushoto), Rais alitembelea banda la Binti Africa kwenye Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yaliyomalizika juzi. Wengine Mkurugenzi Mkuu waTantrade Jacqueline Maleko,  Kaimu Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Raymond Mushi (kulia)


RaisJakayaKikwete (kulia) akichagua mashati yaliyomvutia kwa ubora yanayotengenezwa na Kampuni ya Binti Africa Unique Colorful Quality ya Jijini Dar es Salaam akiongozwa na Ofisa Mtendaji Mkuu na Meneja mwanamitindo, Johari Kemmy Sadiq (wa pili kulia) Rais alitembelea banda la Binti Africa kwenye Maonyeshoya 38 ya Biashara ya Kimataifa yaliyomalizika juzi. Wengine Mwenyekiti wa Bodi ya wa kurugenzi Tantrade Sabetha Mwambeja (wa pili kushoto)


No comments:

Post a Comment

Pages