Na Keneth Ngelesi
JUMUIYA ya Umoja ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha
Mapinduzi, (UVCCM), umetakiwa kuingia mitaani na kupambana na umoja wa katiba
nchini Ukawa kwani ndio saizi yao na kuwaachia wazee wa CCM kuendelea kutangaza
ilani ya chama na utekelezaji wa sera kwa wananchi.
Rai hiyo imetolewa na katibu wa chama cha mapinduzi Wilaya ya Ileje mkoani Mbeya Luciano Mbossa wakati wa ufunguzi
wa kikao cha baraza hilo Mkoa wa Mbeya kilicho keti katika ofisi cha hicho
Mkoa.
Akiwa amepewa nafasi ya
kutoa salamu Mbossa alisimama na kusema kuwa Ukawa ni kuminyeme cha utarabibu
uliwewekwa wa kuundwa katiba mpya kitendo cha wajumbe hao kutoka nje ni kinyume
cha utaribu na kwamba vijana hao wana kila sababu za kuingia mitaani na kupambana
na ukawa kwani ndiyo saizi yao na wazee.
‘Vijana UKAWA ni kinyeme
cha utaratibu hivyo niwasii mnatakiwa kakabilia na hawa jamaa kwani ndiyo saizi
yenu huku mkituacha sisi wazee tukiendlea kutekeleza sera za chama chetu na
hamna sababu za kiawakimbia ‘alisema Mbossa
Aliongeza kuwa kila watakapo
pita ukuwa vijana hao wanapaswa kupambana hao kwa kila hali hata katika vikao harali na visivyo harali
lengo akimanisha hata katika mauzungumzo ya ,mitaaani vijana haoa wanapaswa
kukabiliana nao.
Aliongeza kuwa hivi sasa
wanafanya vikoa harali na visivyo harali hivyo na nyie vijana hamna budi kula
saahani moja kila wapo pita.
Wakati huo huo Mjumbe wa
Bunge la katiba Bashiru Madodi, aliwaonya vijana haoa kujiep[uesha
kutumika na wanasisa wenye uchu wa urais na kwamba tabia hiyo itaendelea kuna hatari
kwa UVCCM kusambaratika hata kabla ya uchaguzi mkuu.
Madodi alisema kuwa
uchaguzi huenda ukawa mgumu na kwamba kama watakubali iendelee kuna unauwezekano mkubwa wa jumuiya hiyo kuto fika
hata mwezi umoja huo utakuwa umesha sambaratika na chanzo kikiwa wanasisa wanao
saka urais.
Alisema kuwa zipo dalili
kubwa ya baadhi ya wajumbe wa baraza hilo kuonyesha waziwazi juu ya kuonyesha kujikita
katika kundi mtu fulani ambaye
ameshjaonyesha n ia ya kutaaka kuingia ikulu katika uchaguzi Mkuu mwakani.
Kwa upane wakea
Katibu wa Hamasa wa UVCCM Taifa, Paul Makonda, alisema kuwa tatizo kubwa linalo ukabili umoja huo kwa hivi
sasa ni uwepo wa wanachama wasiojitambua
kisiasa ambao wamekubali kuwekwa mifukoni na wanaotaka kuingia Ikulu hali
inayosababisha kukosa ujasiri katika matendo na kauli zao na hivyo kila
wanalolifanya lazima waseme wametumwa na fulani.
Mwenyekiti wa UVCCM
Mkoani Mbeya, Amani Kajuna, alisema vijana wanapaswa kusubiri maamuzi ya chama
kuhusu mgombea atakayeipeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi ujao na kuunga
mkono uamuzi huo badala ya kujiingiza kwenye makundi yanayohatarisha uhai wa
umoja huo.
Mjumbe wa NEC Zanzibar,
Nadya Juma Mohammed, amewataka vijana kutambua kuwa harakati za uchaguzi
zinazohatarisha uhai wa UVCCM ni tukio la kipindi kifupi hivyo wanapaswa kuwa
makini na wasikubali kugawanywa na wanasiasa hao kwa sababu uhai wa umoja huo
unahitaji nguvu yao ya pamoja kwa muda mrefu.
Akifungua mkutano huo,
Mwenyekiti wa CCM mkoani Mbeya, Godfrey Zambi, aliwataka UVCCM kutokubali
kununuliwa na wanasiasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu ili
kuepusha kupitisha wanasiasa wasiokuwa na uwezo.
Katika hatau nyinmgine
Zambi alisema kuwa licha ya ukawa kutokla nchi ya Bunge la katiba lakaini
anashangazwa na umauzi wa tume ya katibu kuvcha maoni ya wananchi na kuamua kuchukua ya kwao na kwamba tume
hiyo ilipotoka.




No comments:
Post a Comment